Tunatoa huduma za kitaalamu za ukaguzi kwa mujibu wa viwango vya kimataifa vya ukaguzi (ISA).
Soma zaidiUshauri kuhusu bajeti, mipango ya kifedha, mikopo na usimamizi wa matumizi kwa taasisi au mtu binafsi.
Soma zaidiTunasaidia wateja kufuata sheria za kodi kwa usahihi na kutoa mikakati ya kupunguza gharama za kodi.
Soma zaidiTunasaidia kuandaa hesabu za mwaka, taarifa za kifedha na kumbukumbu za kihasibu kwa usahihi.
Soma zaidiTunapanga, kufuatilia na kutoa ripoti kuhusu matumizi na maendeleo ya miradi ya maendeleo na misaada.
Soma zaidiMafunzo maalum kwa watumishi kuhusu ukaguzi, uhasibu, kodi, na matumizi ya mifumo ya kifedha.
Soma zaidi